Mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika
Endelea kufuatilia mzalendo kwa taarifa zaidi