Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi, 2022.

Previous articleMJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA WIKI YA WAZAZI
Next articleDKT.MPANGO AWATAKA JKT KIKOSI NAMBA 834 MAKUTUPORA KUPANDA MITI PEMBEZONI MWA BARABARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here