Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA AKUTANA NA SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI YA JAMHURI YA INDONESIA BALI NCHINI INDONESIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi ya Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani katika ofisi za Spika wa Indonesia zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi ya Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani katika ofisi za Spika wa Indonesia zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi ya Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani akionyesha zawadi aliyopatiwa na Spika huyo (Indonesia) katika ofisi za Spika wa Indonesia zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi ya Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani katika ofisi za Spika wa Indonesia zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi ya Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani (katikati) katika ofisi za Spika wa Indonesia zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Wengine ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau (kushoto) na Wabunge wa Bunge la Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa IPU, Kuanzia kulia ni Mbunge wa Chake Chake, Mhe. Ramadhan Suleiman Ramadhan na

Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor