marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sakarya escort

izmit escort

matbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

cashwin

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

marsbahis giriş

marsbahis

perabet giriş

interbahis

betmarino

betpipo giriş

imajbet

betmarino

casinowon

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

aaa

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

holiganbet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

ngsbahis giriş

perabet

ngsbahis

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

vbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

betplay

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

lordcasino

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

deneme bonusu

jasminbet

jasminbet giriş

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

MANISPAA YA KAHAMA YAONGOZA KUWA NA WAGONJWA WENGI WA KIFUA KIKUU

Written by Alex Sonna
Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akitoa taarifa ya Shughuli za Kifua Kikuu Mkoa wa Shinyanga wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga. Kushoto ni Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Mkoa wa Shinyanga Dkt. Laurent Mhembe,kulia ni Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga.

 

Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika leo Alhamisi Machi 24,2022 katika kijiji cha Busungo kata ya Segese Halmashauri ya wilaya ya Msalala.Wa kwanza Kushoto ni Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Mkoa wa Shinyanga Dkt. Laurent Mhembe akifuatiwa na Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile. Kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Kahama Mhe. Timoth Ndanya.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

 

 
Imeelezwa kuwa Kiwango cha ugunduzi wa wagonjwa Mkoa wa Shinyanga kimeongezeka kutoka idadi ya wagonjwa 2497 mwaka 2017 mpaka wagonjwa 3157 mwaka 2021 ambapo Manispaa ya Kahama imeongoza kwa kuwa na wagonjwa 1005 ikifuatiwa na Manispaa ya Shinyanga wagonjwa 789, Msalala 451, Kishapu 331, Halmashauri ya Shinyanga 317 na Ushetu 260.
 
 
Hayo yamesemwa leo Alhamis Machi 24,2022 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile wakati akitoa Taarifa ya utendaji shughuli za Kifua Kikuu Mkoa wa Shinyanga kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani yaliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Busungo kata ya Segese halmashauri ya Msalala.
 
Amesema pia ugunduzi wa watoto wenye Kifua Kikuu Mkoani Shinyanga umeongezeka kutoka asilimia 10.8 kwa mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 22 ya wagonjwa wote kwa mwaka 2021 ambalo ni ongezeko la asilimia 7 zaidi ya lengo la kitaifa na kwamba wameongeza ugunduzi wa wagonjwa wa Kifua Kikuu Sugu na kuanzishiwa matibabu kutoka 2 hadi 11 mwaka 2021 na kupungua kwa vifo vitokanavyo na maambukizi ya Kifua Kikuu kutoka asilimia 16.7 mwaka 2017 hadi 4.7 mwaka 2020.
 
“Tumefanikiwa kuongeza mashine za kupima sampuli za makohozi kwa kuangalia vinasaba vya bakteria yaani Gene – Xpert kutoka mwaka 2017 hadi 10 mwaka 2021 pamoja na kuongezeka kwa ufanisi wa matibabu (Treatment success) kwa wagonjwa wa Kifua Kikuu kutoka asilimia 90.5 mwaka 2017 mpaka 96 mwaka 2020”, ameeleza Dkt. Ndungile.
 
“Hali kadhalika tumepunguza vifo vitokanavyo na ugonjwa 2a Kifua Kikuu kutoka asilimia 4.8 mwaka 202l17 hadi asilimia 2.4 kwa mwaka 2020 na kupunguza watoro wa dawa za Kifua Kikuu kutoka asilimia 4 mwaka 2017 hadi asilimia 0.1 mwaka 2020”, amesema.
 
Amezitaja baadhi ya changamoto katika kutekeleza shughuli za Kifua Kikuu kuwa ni Idadi ndogo ya maabara zinazofanya upimaji wa Kifua Kikuu ambapo zipo kwenye vituo 38 kati ya vituo 262 vya kutolea huduma za afya, utumiaji mdogo wa mashine za upimaji wa Kifua Kikuu kwa kuangalia Vinasaba na ushiriki mdogo wa uibuaji wagonjwa wa Kifua Kikuu na Ukoma kutoka vituo binafsi vya kutolea huduma za afya.
 
Hata hivyo amesema Mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kupitia Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma (2020-2025) unaendelea kuhakikisha dawa za kutibu Kifua Kikuu zinaendelea kupatikana wakati wote bila malipo yoyote na kuimarisha uwezo wa vituo vya ugunduzi wa Kifua Kikuu kwa kutumia teknolojia mpya ya vipimo kwa kuangalia vinasaba kwa njia ya Gene Expert MTB/RIF na kugatua huduma za Kifua Kikuu sugu.
 
“Mkoa wa Shinyanga kupitia Wizara unapenda kutoa shukrani nyingi kwa wadau wanaotoa huduma za afua mbalimbali za afya zikiwemo za Kifua Kikuu na UKIMWI ambao ni pamoja na MDH, THPS,FHI 360,SHIDEPHA, RAFIKI,EPIC na vyombo vya habari ambao wamekuwa washiriki wazuri katika kuhakikisha afya za wananchi mkoa wa Shinyanga zinaendelea kuimarika”, ameongeza Dkt. Ndungile.
 
“Kauli Mbiu ya Kifua Kikuu mwaka huu ni ‘Okoa Maisha, Wekeza katika kutokomeza Kifua Kikuu nchini’ hivyo kila Mtanzania anao wajibu wa kuwekeza katika mapambano ya Kifua Kikuu na kushiriki kikamilifu ili kuwezesha kuutokomeza ugonjwa huu wa TB”, amesema Dkt. Ndungile.
 
Dkt. Ndungile amesema Kifua Kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza unaosababishwa na vimelea aina ya bakteria (Mycobacterium Tuberculosis – MTB) na kwamba ugonjwa huo husambaa kutoka kwa mtu mmoja mwenye vimelea kwenda kwa mtu mwingine kwa njia ya hewa wakati anapokohoa, anapocheka ama kupiga chafya n.k.
 
Amezitaja dalili za ugonjwa wa Kifua Kikuu kuwa ni pamoja na homa za mara kwa mara hasa wakati wa jioni,kutokwa jasho jingi kuliko kawaida hata kama ni wakati wa baridi wakati wa usiku, kutoa makohozi yaliyochanganyika na damu,kupungua uzito na
kukohoa wiki mbili au zaidi na kwa watu wanaoishii na Virusi vya UKIMWI ni kikohozi cha wakati wowote.
 
Kwa upande wake Mgeni Rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Chris Simba Liganga TB inatibika hivyo kuwataka watu wenye dalili za ugonjwa wa Kifua Kikuu wafike kwenye vituo vya kutolea huduma kwa ajili ya kuchunguzwa makohozi haraka iwezekanavyo ili kubaini vimelea vya Kifua Kikuu na wale watakaobainika na vimelea kuanzishiwa matibabu mara moja ili kupunguza uwezekano wa kuendelea kuambukiza watu wengine katika jamii.
 
“Siku ya leo inatukumbusha umuhimu wa kupima Kifua Kikuu kila tuonapo dalili yoyote inayoendana na ugonjwa huu. Pia kupitia wahudumu wa afya wa jamii na waelimishaji rika wanaopita nyumba kwa nyumba naomba muwape ushirikiano ili tuweze kuunganisha hizi nguvu katika kumaliza Kifua Kikuu. Wananchi waendelee kupewa elimu, ushauri na uhamasishaji wa kufika kwenye vituo vya afya kwa ajili ya uchunguzi wa TB”, amesema Liganga.
 
Aidha Liganga amesema ni marufuku kwa maduka ya dawa za binadamu mtaani kuuza dawa za Kifua Kikuu hivyo kuwataka wananchi kufika katika vituo vya afya ambako dawa za TB zinatolewa bila malipo yoyote.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kifuu Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika leo Alhamisi Machi 24,2022 katika kijiji cha Busungo kata ya Segese Halmashauri ya wilaya ya Msalala.Wa kwanza Kushoto ni Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Mkoa wa Shinyanga Dkt. Laurent Mhembe akifuatiwa na Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wananchi wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika kijiji cha Busungo kata ya Segese Halmashauri ya wilaya ya Msalala.
Wananchi wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika kijiji cha Busungo kata ya Segese Halmashauri ya wilaya ya Msalala.
Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akitoa taarifa ya Shughuli za Kifua Kikuu Mkoa wa Shinyanga wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Mkazi wa Segese Grey Mahimu akitoa ushuhuda namna alivyougua ugonjwa wa Kifua Kikuu na Kupatiwa Matibabu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Mkazi wa Segese Neema Anthony akitoa ushuhuda namna alivyougua ugonjwa wa Kifua Kikuu na Kupatiwa Matibabu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga (kulia) wa kwanza kushoto ni Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Mkoa wa Shinyanga Dkt. Laurent Mhembe na Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Waendesha bodaboda wakicheza muziki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika kijiji cha Busungo kata ya Segese Halmashauri ya wilaya ya Msalala.
Wananchi wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani ambapo katika Mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika kijiji cha Busungo kata ya Segese Halmashauri ya wilaya ya Msalala.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga (kushoto) na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile (kulia) wakicheza muziki na wakazi wa Segese kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani. Katikati ni MC Mzungu Mweusi.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga (kushoto) na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile (katikati) , Katibu Tawala wilaya ya Kahama Mhe. Timoth Ndanya wakicheza muziki na wakazi wa Segese kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile (wa pili kushoto) akimuongoza Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga (aliyevaa miwani) kuelekea katika Banda la Uchunguzi wa Kifua Kikuu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Wakazi wa Segese wakiwa katika Banda la Uchunguzi wa Kifua Kikuu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Wakazi wa Segese wakiwa katika Banda la Uchunguzi wa Kifua Kikuu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga (katikati aliyevaa miwani) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtoa huduma ngazi ya Jamii Magreth Alimosa kwenye Banda la Uchunguzi wa Kifua Kikuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu.
Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Chris Simba Liganga (kulia) akisikiliza kwenye Banda la Upimaji VVU wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna