Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA AFRICA50 ALAIN EBOBISSE,

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Alain Ebobisse aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Alain Ebobisse mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.

About the author

mzalendoeditor