Featured Kimataifa

SPIKA DKT.TULIA ATETA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) BALI NCHINI INDONESIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi zake ndogo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi zake ndogo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea l

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg Martin Chungong katika ofisi zake ndogo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 22, 2022, Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb),Martin Chungong katika ofisi zake ndogo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 22, 2022 katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg Martin Chungong (kushoto) katika ofisi zake ndogo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 22, 2022, Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor