Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WIZARA YA AFYA SMZ KUTOA MAFUNZO KWA WATUMISHI NA KUIMARISHA MAABARA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Ujumbe kutoka Shirika la misaada la  Marekani  kuhusu maswala ya Ukimwi mara walipofika Ofisini kwake Mnazimmoja kujitambulisha na kujadiliana mambo mbalimbali ikiwemo kuwapatia misaada walioathirika na Virusi hivyo.

Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akimpatia maelekezo mjumbe kutoka shirika la misaada la Marekani ambao wanajishughulisha na maswala ya Ukimwi Michele Chevalier kuhusu matumizi ya  karafuu kabla ya kumkabidhi kama zawadi maalum kutoka kwa Waziri huyo ,alipofika na ujumbe wake katika Ofisi za Wizara ya Afya Mnazimmoja  kujitambulisha .

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.

…………………………..

NA SABIHA KHAMIS ,MAELEZO  

Waziri wa Afya Nassor Ahmed Mazrui amesema Wizara yake inakusudia kuimarisha maabara na kuwapatia mafunzo wafanyakazi wa sekta ya afya ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi.

Akizungumza na Ugeni kutoka Shirika la Misaada Marekani ambao wanawakilisha OGAC na CDC huko ofisini kwake Mnazi Mmoja amesema kupitia Shirika hilo watakuwa mstari wa mbele katika kupambana na maambukizi ya UKIMWI.

Amesema wafanyakazi watapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kufanya utafiti ili kuongeza kiwango cha utoaji huduma na kuimarisha sekta ya afya nchini.

“Katika kuwajenga katika kuimarisha huduma za afya kwa wananchi ni kuwajengea uwezo wafanyakazi wa kufanya utafiti ambao utasaidia katika kutoa huduma bora kwa jamii”, alisema Waziri Mazrui.

Ameeleza kuwa kupitia Shirika hilo wamekuwa mstari wa mbele katika kupambana na UKIMWI nchini, hivyo ameomba kuwepo na ushirikiano wa kutosha  ili kutokomeza janga hilo.

“Ni kweli hivi sasa tuna waathirika wa UKIMWI 7600, waathirika 400 kwa mwaka 2020 hadi 2021 hichi si kiwango kidogo katika Nchi yetu”, amesema Waziri Mazrui.

Waziri Mazrui amesisitiza jamii kuongeza juhudi ya kutoa ushauri kwa walioathirika wasiwaambukize wengine, kuwapatia matibabu kwa wale walioathirika ili waendelee kuishi vizuri.

Hata hivyo Waziri Mazrui amesema wapo katika ujenzi wa hospital 10 za Wilaya na moja ya Mkoa ambazo zina malengo ya kutoa huduma bora za afya kwa jamii  na jukumu kuu la sekta ya Afya ni kuimarisha  afya za wananchi.

Amefahamisha kuwa katika kupambana na maradhi ya kuambikiza Mke wa Rais Mama Maryam Mwinyi yupo mstari wa mbele katika kupambana na kupinga maambukizi ya UKIMWI nchini.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Ujumbe huo Michelle Chevalier amesema lengo la Shirika hilo ni kuweka mashirikiano ya karibu na sekta ya Afya katika mapambano ya kujikinga na maradhi ya UKIMWI, viashiria vya maradhi hayo pamoja na kuwapatia huduma waathirika.

Vile vile ameahidi kuweka mashirikiano katika suala zima la kuzuia maradhi ya UKIMWI na mengine makubwa yakiwemo Saratani kwa wanawake na watoto.

About the author

Alex Sonna