Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATEMBELEA KABURI LA HAYATI MAGUFULI CHATO

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimia na kuzungumza na Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano hayati Dkt. John Magufuli, Mama Janeth Magufuli wakati alipowasili nyumbani kwake Wilayani Chato Mkoani Geita leo Machi 16, 2022.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ametembelea kaburi la hayati Magufuli 

About the author

mzalendoeditor