Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

RC MTAKA AITAKA TFS,UONGOZI BONDE LA WAMI RUVU KUWEKA JITIHADI ZA ZIADA UPANDAJI NA UTUNZAJI MITI CHANZO CHA MAJI MZAKWE

Written by Alex Sonna

Mkuu wa  mkoa  wa Dodoma Anthony Mtaka,akizungumza  wakati wa ziara ya kukagua na kutembelea eneo la upandaji wa miti katika chanzo cha maji eneo la Mzakwe ambacho ni  chanzo muhimu cha maji mkoani Dodoma.

Mkuu wa  mkoa  wa Dodoma Anthony Mtaka,akisisitiza jambo wakati katika eneo la upandaji wa miti katika chanzo cha maji eneo la Mzakwe ambacho ni  chanzo muhimu cha maji mkoani Dodoma mara baada ya kutembelea eneo hilo.

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt.Fatuma Mganga,akizungumza wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Anthony Mtaka akikagua eneo la upandaji wa miti katika chanzo cha maji eneo la Mzakwe ambacho ni  chanzo muhimu cha maji mkoani Dodoma mara baada ya kutembelea eneo hilo.

Mstahiki Meya jiji la Dodoma Prof.Davis Mwamfupe,akielezea umuhimu  wa ushirikishwaji wa jamii ya  eneo husika katika utunzaji wa chanzo cha maji eneo la Mzakwe.

Mkuu wa  mkoa  wa Dodoma Anthony Mtaka,akimsikiliza Mkazi wa Makutupora  Mzee Shaban  Nyambo,wakati wa ziara ya kukagua  eneo la upandaji wa miti 

Muonekano wa chanzo cha maji eneo la Mzakwe ambacho ni  chanzo muhimu cha maji mkoani Dodoma.

……………………………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

 WAKALA wa Misitu Tanzania (TFS) pamoja na uongozi wa  bonde la maji   la Wami Ruvu umetakiwa kuongeza jitihada za upandaji na utunzaji wa miti katika chanzo cha maji eneo la Mzakwe jijini Dodoma .

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa  mkoa  wa Dodoma Anthony Mtaka wakati wa ziara ya kukagua na kutembelea eneo la upandaji wa miti katika chanzo hicho cha maji ambacho ni  chanzo muhimu cha maji mkoani Dodoma.

Mtaka amesema kuwa haridhishwa na hali ya upandaji wa miti katika eneo hilo lenye  zaidi ekari elfu nne ,ikiwa ni sehemu ya ziara yake maalum kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira .

”Nawataka  TFS pamoja na uongozi wa  bonde la maji   la Wami Ruvu muongeze jitihada za upandaji na utunzaji wa miti katika chanzo cha maji hiki ili koundoa hali kama hii”amesema Mtaka 

Aidha,Mtaka amesema takwimu zinazotolewa juu ya idadi ya miti iliyopandwa katika eneo hilo haziendani na hali halisi na kuwataka viongozi wa bonde  kuacha uzembe  na kudanganya viongozi wakuu wa nchi.

 RC Mtaka ameagiza sheria zitekelezwe ikiwemo faini ya kuanzia Tsh.50,000 hadi Tsh.300,000 kwa watu watakaokamatwa kwa kuingiza mifugo au kuchoma moto chanzo hicho.

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt.Fatuma Mganga amesema kuna umuhimu wa uratibu mzuri wa  utunzaji wa miti katika chanzo hicho.

Naye Mstahiki Meya jiji la Dodoma Prof.Davis Mwamfupe amesema kuwa kuna  umuhimu wa ushirikishwaji wa jamii ya  eneo husika katika utunzaji wa chanzo hicho.

Awali Mhifadhi misitu wa wakala wa Misitu Tanzania (TFS) kanda ya kati  Alexanda Mboya ameanisha changamoto zilizosababisha miti iliyopandwa kutostawi katika eneo hilo kuwa ni pamoja na mbuga hivyo mahitaji ya eneo hilo la chanzo cha maji Mzakwe ni miti ya asili.

About the author

Alex Sonna