Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jamal Kassim Ali kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Hamza Hassan Juma kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed kuwa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor