slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

imajbet

artemisbet giriş

artemisbet

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

jojobet

vdcasino

kingroyal

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI UMMY ATOA TAHADHARI YA UGONJWA WA HOMA YA MAJANO (YELLOW FEVER)

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) katika nchi jirani ya Kenya leo March 9,2022 jijini Dodoma.

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichwale, akielezea Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) katika nchi jirani ya Kenya leo March 9,2022 jijini Dodoma.

Mwakilishi Mkaazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt.Tigest  Mangestu,akizungumza wakati Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akitoa Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) katika nchi jirani ya Kenya leo March 9,2022 jijini Dodoma.

Waandishi wa habari wakifatilia hotuba ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu (hayupo pichani) wakati akitoa Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) katika nchi jirani ya Kenya leo March 9,2022 jijini Dodoma.

Mwandishi wa Uhuru FM Sakina Abdulmasoud akiuliza swali kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu (hayupo pichani) mara baada ya kutoa Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) katika nchi jirani ya Kenya leo March 9,2022 jijini Dodoma.

……………………………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

Wizara ya afya imewatahadharisha wananchi kuchukua tahadhari za ugonjwa wa homa ya manjano Kutokana na  kuwapo kwa tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini Kenya katika County ya Isiolo umbali wa takribani Kilomita 285 (Kaskazini mwa Nairobi) . 
Hayo yamesemwa leo Machi 9,2022 na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma  amesema mnamo tarehe 03 Machi, 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka Ofisi ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyopo hapa nchini, ikielezea kuwepo kwa ugonjwa huo nchi jirani.
Ameeleza kuwa taarifa hiyo ilieleza kuwa, mgonjwa wa kwanza mwenye dalili za ugonjwa huu alipatikana mnamo tarehe 12 Januari 2022 na hadi kufikia tarehe 03 Machi 2022, kulikuwa na jumla ya wagonjwa 15 na vifo vitatu (3) vilivyotokana na ugonjwa huu hivyo ni muhimu kwa Tanzania kuchukua tahadhari. 
Kadhalika Waziri Ummy amefafanua kuwa kati ya sampuli sita (6) zilizopimwa katika maabara ya Kenya (KEMRI), sampuli tatu (3) zilithibitika kuwa va virusi vya homa ya Manjano kwa kutumia vipimo vya serology na PCR. Vilevile, kumekuwa na tetesi za kuwa na wagonjwa wenye dalili za homa ya Manjano katika nchi za Uganda, Sudan ya Kusini na Chad.
“Nchini kwetu taarifa za kipindi cha miezi mitatu iliyopita katika mfumo wa ufuatiliaji wa magonjwa yaliyopewa kipaumbele wa (Integrated Disease Surveillance and Response-IDSR) zinaonesha kuwa hapajakuwepo na taarifa zinazoashiria kuwepo kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano,
Vile vile katika kipindi hiki, mfumo wa taarifa wa ufuatiliaji wa tetesi za magonjwa haujaashiria kuwepo kwa dalili za ugonjwa huo hapa nchini. Hata hivyo, ninatoa tahadhari kwa wananchi ili kuchukua hatua na kuhakikisha ugonjwa huu hauingii nchini kwetu,”alisema
 Aliongeza kuwa ugonjwa wa Homa ya Manjano husababishwa na virusi ambavyo huenezwa na mbu aina ya Aedes, kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu na vilevile kati ya mtu na mtu na kwamba watu wanaofanya kazi kwenye misitu huweza kuambukizwa kwa kung’atwa na mbu ambao hupata vimelea vya ugonjwa huo kutoka kwa wanyama wa porini kama Nyani na huambukizwa kati ya mtu na mtu pindi mtu mwenye virusi hivyo anapoumwa na mbu na hatimaye kueneza kwa mtu mwingine. 
Alizitaja dalili za ugonjwa wa Homa ya Manjano kuwa  ni pamoja na homa, kuumwa na kichwa, maumivu ya misuli pamoja na mgongo, mwili kutetemeka, kupoteza hamu ya kula, kusikia kichefuchefu na kutapika, mwili kuwa na manjano, kutokwa na damu sehemu za wazi kama mdomoni, puani, machoni na tumboni na wakati mwingine damu huonekana kwenye matapishi na kinyesi na ugonjwa unapokuwa mkali figo hushindwa kufanya kazi.
“Dalili hizi huanza kuonekana katika Kipindi kati ya siku 3 hadi 6 baada ya kuambukizwa, hauna tiba mahsusi bali mgonjwa anayezidiwa uhitaji huduma ya karibu, ambapo mgonjwa anatibiwa kutokana na dalili zinazojitokeza lakini pia mara nyingi matibabu yanahusisha utoaji wa dawa za kushusha homa na kupunguza maumivu au kuongezewa maji mwilini kwa kunywa au kwa kuwekewa dripu,”alifafanua 
Sambamba na hatua hizo,Waziri Ummy alisema Wizara itaendelea kufuatilia kwa karibu wasafiri wote wanaoingia nchini hususani kutoka nchi zilizo katika hatari ya maambukizi ya homa ya manjano,kuhakikisha kuwa chanjo za kutosha za ugonjwa wa Homa ya manjano zinakuwepo hapa nchini.
Hatua nyingine ni kusimamia na kuhimiza usafi wa mazingira ili kudhibiti mazalia ya mbu,kuendelea kutoa elimu ya Afya kwa wananchi kuhusu ugonjwa huo na kuwaasa wananchi kuzingatia kutoa taarifa mapema katika vituo vya kutolea huduma ya afya pale wanapoona mgonjwa mwenye dalili za homa hiyo
“Wizara inapenda kuwakumbusha watanzania kutumia vyandarua vilivyotiwa dawa,kutilia mkazo usafi wa mazingira na kuzuia maji yasituame ovyo kwenye mazingira tunayoishi ili kuangamiza mazalia ya mbu katika maeneo yanu,..
 Kwa wasafiri wanaokwenda nje ya nchi, wahakikishe wamepata chanjo dhidi ya homa ya manjano (Yellow Fever),huduma za chanjo hiyo zinapatikana katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere (Dar es Salaam), Hospitali ya Mnazi Mmoja, Ofisi za Afya Bandari (Dar es Salaam) na kituo cha Afya cha IST (Dar es Salaam) pamoja na Ofisi za Afya za mipakani,”alisisitiza.
Kwa upande wake Mwakilishi mkazi wa Shirika la afya duniani nchini Tanzania (WHO)ameeleza kuwa ugonjwa huo unazuilika kwa njia ya chanjo ambayo kutokana na ushauri wa Shirika hilo hutolewa kwa wasafiri hasa wanaokwenda katika nchi zile ambazo zimekuwa na ugonjwa huo ili kuwazuia wasafiri hao wasipate ugonjwa na kuingiza katika nchi zao pindi wanaporejea. 
Alisema  pamoja na utoaji wa Chanjo kwa wasafiri, ufuatiliaji wa kina umekuwa unafanyika kwenye mipaka ili kuhakikisha kuwa wasafiri wanaoingia kutoka katika nchi zilizokwishakuwa na ugonjwa huu wana vyeti vinavyoonesha kuwa wamepata chanjo hiyo.  
“Katika nchi za Afrika Mashariki, Tanzania haijawahi kuwa na taarifa ya mgonjwa yeyote aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Homa ya Manjano tangu mwaka 1950,
Baada ya kupata taarifa za ugonjwa huo katika nchi ya Kenya, Shirika letu linaendelea kuchukua hatua zote stahiki ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa watu wenye dalili za ugonjwa katika vituo vya Afya vya bandari, viwanja vya ndege na mipakani kwa wasafiri watokao nje ya nchi na kuhakikisha kuwa wasafiri watokao nchi zenye hatari ya ugonjwa huo wanakuwa na uthibitisho wa chanjo ya Homa ya manjano,”alisema Mwakilishi huyo wa WHO.
Akitahadhalisha kwamba ugonjwa huo upo jirani lakini lakini ni rahisi kuzuiliks hivyo kuwataka wananchi kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo na ushauri utakaotolewa na wataalam wa Afya katika maeneo yao au vyombo vya habari.
Pamoja na hayo alieleza kuwa WHO inaendelea kutoa wito kwa wadau katika ngazi zote kuendelea kushirikiana na Serikali  katika kutekeleza jitihada mbalimbali za kupambana na magonjwa ya milipuko ikiwepo ugonjwa huo ili kuwe na wananchi Wenye afya njema na kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea.

About the author

Alex Sonna