Meja Jenerali wa Chechnya Ramzan Kadyrov amemuomba Rais Vladimir Putin aruhusu mapigo mabaya ya kustukiza ili Ukraine isalimu amri ndani ya muda mfupi (saa 48)
Ramzan ambaye vikosi vyake viko vitani ameshauri kuachana na mapatano ambayo hayatakuwa na maana zaidi ya kusaini karatasi
Amesema haweza kuvumilia kuona wanajeshi wake wanauawa. Na kadiri wanavyozidi kuchelewa ndivyo watakavyokumbana na vikwazo zaidi