Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Mtandao na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani USAID Bi. Samantha Power leo tarehe 03 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Bi. Samantha amesema Shirika hilo litaipatia Tanzania msaada wa Kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 25.