Featured Kitaifa

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA OFISI ZA TUME JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga (katikati) akiwa  na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto) mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Njedengwa jijini Dodoma leo Machi 3,2022 kwaajili ya kuzindua Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) lililokua likifanyika katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume. Kulia ni Mdhibiti na Mkaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali Charles Kichere.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein  Katanga akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Njedengwa jijini Dodoma leo Machi 3,2022 kwaajili ya kuzindua Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) lililokua likifanyika katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume. Katikati ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles na  Kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere.  (Picha na Mroki Mroki – NEC).

About the author

mzalendoeditor