Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

betpark

pusulabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

betsat

Starzbet

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

modabet

Kitaifa

WAZIRI JAFO ATAJA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo March 2,2022 jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita madarakani.

Viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakifuatilia mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita madarakani,leo March 2,222 jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akionesha kitabu cha Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021 kwa zungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita madarakani,leo March 2,2022  jijini Dodoma

…………………………………..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kipindi cha mwaka mmoja.

Akizungumza leo March 2,2022 jijini  na waandishi wa habari alisema kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja cha Serikali Ofisi ya Makamu wa Rais imeboresha mfumo na taratibu za utoaji wa vibali vya Tathmini ya Athari kwa Mazingira kwa kutoa miongozo ya namna ya kutekekleza agizo la utoaji wa vibali husika ndani ya siku 14 baada ya kupokea Taarifa ya mwisho kutoka kwa Mwekezaji. 

Dkt. Jafo alisema kuwa katika kipindi hicho, jumla ya vibali 1445 vimetolewa ikiwemo vibali 1014 vya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) na vibali 431 vya Ukaguzi wa Mazingira.

Aliongeza kuwa katika Miradi Ya Hifadhi ya Mazingira, Ofisi imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya hifadhi ya mazingira ikiwemo, Mradi wa Kurejesha Ardhi Iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula Katika Maeneo kame ya Tanzania (Reversing Land Degradation and Food Security in Semi-Arid Areas – LDFS).

Mradi huu unatekelezwa katika Halmashauri za Micheweni (Kaskazini Pemba), Magu (Mwanza), Nzega (Tabora), Mkalama (Singida), na Kondoa (Dodoma). Katika kipindi husika, Mradi umetoa hatimiliki ardhi za kimila kwa wananchi 1,448,” alisema.

Kwa upande wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi Kupitia Mifumo Ikolojia (Ecosystem-Based Adaptation for Rural Resilience in Tanzania – EBBAR), ambapo Mradi unatekelezwa katika Halmashauri za Kaskazini A (Unguja), Mpwapwa (Dodoma), Simanjiro (Manyara), Mvomero (Morogoro) na Kishapu (Shinyanga).  

Pia Mradi wa majaribio wa Kikanda wa Kukabiliana na Mabailiko ya Tabianchi katika Bonde la Ziwa Victoria (Adapting to Climate Change in Lake Victoria Basin) ambao unatekelezwa na nchi tano (5) ambazo ni Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda na Kenya. Kwa upande wa Tanzania, Mradi unatekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Mwanza kwa gharama ya Dola za Kimarekani 500,000 sawa na Shilingi bilioni 1.

Kwa upande wa Muungano alisema kuwa vimefanyika vikao vya kujadili masuala ya Muungano katika ngazi mbalimbali ambapo hoja 11 kati ya 18 zimepatiwa ufumbuzi na kuondolewa kwenye orodha ya hoja za Muungano.  

Dkt. alisema hoja zilizopatiwa ufumbuzi na kuondolewa kwenye orodha ya hoja na Muungano ni pamoja na uingizaji wa maziwa kutoka Zanzibar, Usimamizi wa ukokotoaji na ukusanyaji wa Kodi kwenye Huduma za Simu unaofanywa na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRB). 

Alitaja hoja nyingine kuwwa ni Mkataba wa mkopo wa fedha za ujenzi wa Barabara ya Chake chake hadi Wete – Pemba, Mkataba wa mkopo wa fedha za Mradi wa Ukarabati wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Mkataba wa mkopo wa fedha za ujenzi wa Bandari ya Mpigaduri, Uvuvi kwenye Ukanda wa Uchumi wa Bahari Kuu.

 

Kwa mujibu wa Waziri Jafo ajira kwa watumishi wa Zanzibar katika Taasisi za Muungano; Mgawanyo wa mapato yatokanayo na Misaada kutoka Nje ya Nchi, Mapato yanayokusanywa na Uhamiaji kwa upande wa Zanzibar; Uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Revenue Appeal Tribunal (TRAT) kutoka Zanzibar; na Uteuzi wa Mjumbe wa Bodi ya Bima ya Amana (Deposit Insurance Board – DIB) kutoka Zanzibar. 

“Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeendelea kushirikiana katika miradi mbalimbali ya maendeleo na miradi na programu mbalimbali zinazendelea kutekezwa,” alisema.

Waziri huyo alibainisha kuwa miongoni mwa miradi na program ni pamoja na: Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili uliozinduliwa mwezi Februari, 2020 ambapo jumla ya shilingi bilioni 112.9 zitatumika Zanzibar.

“Katika kuimarisha ushirikiano ndani ya miezi kumi na mbili ya Serikali ya Awamu ya Sita (6) vimefanyika vikao 21 na Sekta zilizokutana ni Sekta ya Nishati, Sekta ya Maji, Sekta ya Madini, Sekta ya Uchukuzi, Sekta ya Utumishi na Utawala Bora, Uratibu wa shughuli za Serikali, Sekta ya Viwanda na Biashara, Sekta ya Maliasili na Utalii, Sekta ya Afya, Sekta ya Kilimo, Sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Sekta ya Ardhi, Sekta ya Fedha na Mipango na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

About the author

Alex Sonna