slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

pusulabet

matbet

vdcasino giriş

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

Featured Kitaifa

WABUNGE RUKWA: VIONGOZI EPUKENI MGONGANO WA MASLAHI MIRADI YA BARABARA

Written by Alex Sonna

Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilaly akizungumza kwenye kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Rukwa jana ambapo amewasihi viongozi wa mkoa huo kuacha kufanya kazi za ukandarasi ndani ya mkoa huo ili kuepuka mgongano wa maslahi.

Meneja wa TARURA mkoa wa Rukwa Mhandisi Seth Mwakyembe akitoa taarifa ya hali ya barabara zilizo chini ya wakala huo ambapo alisema serikali imefanikiwa kuipatia fedha za kutekeleza miradi kwa wakati.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha Bodi ya Barabara jana mjini Sumbawanga ambapo amewataka wahandisi wa barabara kusimamia ujenzi wa barabara kwa ubora na viwango vilivyokusudiwa.

Meneja wa TANROAD mkoa wa Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga akitoa taarifa ya miradi ya barabara ambapo alikiambia kikao cha bodi ya barabara kuwa hali ya barabara mkoani humo imeendelea kuwa nzuri na zinapitika muda wote.

Mbunge wa Kalambo Josephat Kandege akichangi mada wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara mkoa wa Rukwa kilichofanyika jana mjini Sumbawanga.

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenani akichangia jana kwenye kikao cha Bodi ya Barabara mkoa wa Rukwa ambapo ameomba Tarura na Tanroad kutenga fedha za kuweka taa za barabarani kwenye wilaya za Nkasi na Kalambo

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa Rainer Lukala akichangia jana kwenye kikao cha Bodi ya Barabara alishauri kushirikishwa kwa wakandarasi wa ujenzi kwenye vikao hivyo ili watoe ushauri wa kuboresha miradi ya barabara.

(Habari na Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa

……………………………………………………………..

Na OMM Rukwa

Wabunge wa mkoa wa Rukwa wameshauri viongozi kujiepusha na mgongano wa maslahi kwa kutofanya kazi za ukandarasi wa miradi ya barabara ndani ya mkoa huo ili watendaji wapate nafasi ya kusimamia mradi hiyo kikamilifu

 Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilary alitoa wito kwa viongozi wenzake wakiwemo wabunge na viongozi wengine kujiepusha kuomba kazi za ujenzi wa barabara ndani ya mkoa wa Rukwa ili kuepusha mgongano wa maslahi hatua itakayosaidia usimamizi mzuri wa miradi hiyo.

Hayo yamebainishwa leo (28.02.2022) wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara cha Mkoa wa Rukwa kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Sumbawanga ambapo wametaka Wakala za TANROAD na TARURA kusimamia sheria.

“Nashauri sisi wabunge na viongozi wengine tukaombe kazi za barabara kwenye mikoa mingine ili turuhusu watendaji kuwa na usimamizi mzuri wa miradi hii” alisema Aeshi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkuu wa Rukwa Rainer Lukala alishauri uongozi wa mkoa huo kuwashirikisha wakandarasi kwenye vikao hivyo ili watoe michango yao kuboresha utekelezaji wa miradi.

Kuhusu suala la viongozi kuwa na kandarasi za miradi ya barabara , Lukala alisema muhimu ni kwa Mamlaka za usimamizi kuteua wakandarasi wenye sifa na uwezo wa kutekeleza kazi za barabara na tija ipatikane.

“Mimi pia ni mkandarasi hivyo tukisema leo tupitishe azimio kuwa viongozi tusifanye kazi za ukandarasi basi itakuwa vigumu kuendelea na majukumu mengine ya kichama au serikali. Nashauri suala hili lichunguzwe na wakandarasi wenye sifa wapewe.” alisema Lukala.

Akizungumza kwenye kikao hicho Mbunge wa Kalambo Josephat Kandege alisema hivi sasa kumekuwa na uvunjifu wa sheria ambapo Mifugo mingi inapitishwa kwenye barabara na kuzifanya zisidumu  na kuleta kero kwa wananchi.

“Tunashuhudia Mifugo ikipitishwa kwenye barabara zetu bila udhibiti toka kwenye Mamlaka zinazosimamia barabara. Hili haikubaliki. Nendeni mkasimamie sheria ili barabara zidumu” alisema Kandege.

Naye Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenani alitaka mkoa uweke mpango mahususi wa kuweka taa za barabarani ikiwemo kwenye wilaya za Nkasi na Kalambo ili kuvutia miji na pia kukuza uchumi.

Aidha, Khenani alishauri mkoa kupitia Tarnroad na Tarura kuweka mikakati wa kuwa na wakandarasi wenye uwezo ili kazi za ujenzi wa miundombinu hiyio zilete tija.

Mhandisi wa TANROAD Mkoa wa Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga alisema katika mwaka huu wa fedha 2021/22 watakamilisha uwekaji taa za barabarani urefu wa kiliometa 1.5 kwenye mji wa Sumbawanga na fedha zaidi zikipatikana wataendelea kwenye wilaya za Nkasi na Kalambo.

About the author

Alex Sonna