Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA NIGERIA

Written by mzalendoeditor

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Nigeria Prof. Yemi Osinbajo, mazungumzo yaliofanyika Jijini Arusha leo tarehe 27 Februari 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Nigeria Prof. Yemi Osinbajo mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika Jijini Arusha leo tarehe 27 Februari 2022.

About the author

mzalendoeditor