Featured Kitaifa

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO NCHINI DRC

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa  Kumi wa Wakuu wa Nchi wa Serikali zinazohusika na  Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na  kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika Kinshasa, Februari 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa nchi wakati aliposhiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa  Kumi wa Wakuu wa Nchi wa Serikali zinazohusika na  Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na  kwenye ukanda wa maziwa makuu uliofanyika Kinshasa, Februari 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Tshekedi  Uenyekiti wa Mpango wa  Amani , Usalma na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu katika Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa nchi na Serikali uliofanyika Kinshasa, Februari 24, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor