Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

TANZANIA KINARA WA BEI NAFUU ZA BANDO

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Jabir Bakari akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari kuhusiana na huduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka hiyo katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa masuala ya Kisekta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Emmanuel Manase akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari ,jijini Dar es Salaam.Mhariri wa Gazeti la Uhuru Jane Mihanji akichangia wakati wa Mkutano wa Wahariri na TCRA jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wahariri na watumishi wa TCRA katika mkutano wa kuangalia mafanikio ya utoaji huduma za Data wakati Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dk.Jabiri Bakari akijibu hoja mbalimbali.

*******************

UPATIKANAJI wa gharama nafuu za data kwenye simu ni miongoni mwa mafanikio ambayo tafiti mbalimbali zimebainisha Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi zenye gharama nafuu ya data. Uwekezaji kwenye Miundombinu na Sera nzuri ya Serikali kwenye Sekta ya Mawasiliano zimezesha upatikanaji wa huduma bora zenye gharama nafuu kwa wananchi.

Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali Jijini Dar Es Salaam, tarehe 22/02/2022, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri K. Bakari    amewambia wahariri kwamba TCRA imekuwa ikitekeleza jukumu la kuweka mazingira rafiki katika ushindani wa utoaji huduma za mawasiliano kwa kuhakikisha watoa huduma wanajenga ushindani wenye afya ili kuboresha utoaji huduma bora na nafuu kwa wananchi.

Dr. Jabiri amesema, Serikali kupitia TCRA, imewekeza na kujenga miundombinu yenyegharama kubwa iliyosaidia upatikanaji wa huduma za mawasiliano zilizobora kwa gharama nafuu Nchini ukilinganisha na nchi nyingine Barani Afrika na Ulimwenguni, tafiti mbalimbali zimebainisha.

Mathalani bei ya data kwa wastani wa 1GB ni Dola za Kimarekani (USD) 0.750 sawa na shilingi za Kitanzania TZS 1,725. Kielelezo 1 kinaonesha mlinganisho wa bei za data mwaka 2021. Tanzania ni nchi ya 6 miongoni mwa nchi 52, ambazo kiwango cha bei ya data kipo chini.

Kama ilivyo elezwa awali, Barani Afrika Tanzania imo miongoni mwa nchi Kumi kinara kwa unafuu wa gharama ya data inayotumika kwenye simu; hatua hii ni muhimu ikizingatiwa Serikali imekuwa ikiweka mazingira wezeshi ya uwepo watoa huduma wengi wa mawasiliano ya simu ili kushajihisha ushindani wenye manufaa kwa wawekezaji na kuwapatia wananchi unafuu wa gharama za mawasiliano unaotokana na mazingira ya ushindani kibiashara.

Tanzania inashika nafasi ya Sita kwa unafuu zaidi wa gharama ya data kati ya nchi 52 barani Afrika kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya utafiti iitwayo British Technology Research Firm.

Tanzania ni ya 6 kwa unafuu wa data miongoni mwa nchi 52 Baraki Afrika.

Pia Kielelezo 2, Kinaonesha mlinganisho Tanzania kuwa moja ya Nchi zenye bei nafuu ya data Duniani,

Kielelezo cha nafasi ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye gharama nafuu ya data kwenye simu kwa kipimo cha gharama ya kila GB1.  Tanzania ni ya 21 kati ya Nchi 155 duniani     Chanzo: Cable.co.uk – worldwide mobile data pricing report 2021 

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA amewahimiza wadau mbalimbali na watumiaji wa huduma na bidhaa za Mawasiliano  kutumia fursa za kiuchumi zilizomo kwenye Sekta ya Mawasiliano kujiongezea kipato na kuboresha maisha.  Dr Jabiri amesisitiza umuhimu wa matumizi sahihi na salama ya  huduma za Mawasiliano, katika  kujenga mshikamano miongoni mwa wananchi na kuleta Maendeleo ya Taifa.

About the author

Alex Sonna