Featured Michezo

SIMBA SC YATUA KIBABE  NIGER  KUIVAA USGD,PABLO ATAMBA KUIBUKA NA USHINDI 

Written by mzalendoeditor
KIKOSI cha Simba kimewasili salama nchini Niger jioni ya leo kuelekea mchezo wa kesho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, US Gendarmerie Nationale (USGD) Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey.

About the author

mzalendoeditor