Featured • Michezo SIMBA SC YATUA KIBABE NIGER KUIVAA USGD,PABLO ATAMBA KUIBUKA NA USHINDI 3 years agoby mzalendoeditor8 Views Written by mzalendoeditor KIKOSI cha Simba kimewasili salama nchini Niger jioni ya leo kuelekea mchezo wa kesho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, US Gendarmerie Nationale (USGD) Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn