Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg leo tarehe 18 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.

Sehemu ya Watanzania mbalimbali waishio nchini Ubelgiji na Luxembourg wakiwa katika Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  Brussels nchini Ubelgiji leo 18 Februari, 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanya  ikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg leo tarehe 18 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.

PICHA NA IKULU

Previous articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO FEBRUARI 19,2022
Next articleTANZANIA NA QATAR KUKUZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA,UCHUMI NA FURSA ZA AJIRA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here