MAKAMU WA RAIS ATOA POLE MSIBANI KWA MALECELA

0
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Samwel Malecela mtaa wa Kilimani Jijini...

ALIYEJIFUNGUA MGUU WA MAMBA AJISAIDIA MJUSI

0
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Maria Mwakila (26), mkazi wa Kitongoji cha Mbyaso, Kijiji cha Mpunguti, Kata ya Ikama wilayani Kyela mkoani Mbeya, amejikuta...

SERIKALI KUKARABATI MAKAZI YA WAZEE MISUFINI TANGA,DK.CHAULA AFUNGUKA

0
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula, akikagua majengo na miundombinu ya makazi ya wazee ya...

ALIYEPIGILIWA MISUMARI KWENYE MTI TUHUMA ZA WIZI WA REDIO AFUNGUKA

0
Kijana akiwa amepigiliwa misumari kwenye mti  Kijana akiwa hospitali ** Kijana wa miaka 19 kutoka kijiji kimoja kaunti ya Vihiga amelazwa katika hospitali ya Itando Mission baada...

WAZIRI MKUU ARIDHIA KUONGEZA SIKU SABA KWA KAMATI MAALUMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI MTWARA, KILINDI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga.   Kamati hiyo...

VIGOGO SIMBA WAPANDIA DAU POINTI SITA CAF,WAPANGUA FITINA ZA US GENDARMERIE

0
Tumejipanga tumejipanga hii ni kauli ya Viongozi wa Simba SC ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya...

AKAMATWA NA JESHI LA POLISI AKITUMIA SILAHA HARAMU KUVAMIA ,KUIBA MALI ZA WATU

0
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Benjamin Kuzaga akiwaonyesha waandishi wa habari, silaha aina ya gobore iliyotengemezwa kienyeji...

MTAKA AZINDUA ZOEZI LA UPANDAJI MITI WILAYANI MPWAPWA,ATOA MAAGIZO MAZITO

0
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akiwaongoza wananchi kupanda miti katika eneo la shule ya Msingi Kingiti wilayani Mpwapwa wakati wa uzinduzi wa...

‘TUMETENGA BILIONI 19 KWA AJILI YA SHULE MAALUM 56 ZA MICHEZO’-WAZIRI BASHUNGWA

0
OR-TAMISEMI Serikali imetenga Shule maalum 56 za Sekondari nchi nzima kwa ajili ya kukuza na kuendeleza vipaji mbalimbali vya michezo nchini vile vile...