Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na watumishi wa Wizara ya Maji alipotembelea Makao Makuu ya Wizara hiyo, Mtumba jijini Dodoma, Januari 22, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na watumishi wa Wizara ya Maji alipotembelea Makao Makuu ya Wizara hiyo, Mtumba jijini Dodoma, Januari 22, 2026. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, wa pili kulia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiteta na Waziri wa madini wakati alipotembelea Makao Makuu ya Wizara hiyo, Mtumba jijini Dodoma, Januari 22, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa Majengo mbalimbali yaliyopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.