marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

Featured Kitaifa

WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE

Written by Alex Sonna

Moshi, Kilimanjaro 

Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE kwa kuanza kukarabati barabara ya Mabogini–Kahe ambayo kwa miaka mingi ilikuwa katika hali mbaya na imekuwa chanzo cha adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo.

Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 31 imekuwa ni changamoto kwa wakazi wa Mabogini na vijiji vya jirani, hasa nyakati za mvua ambapo ilikuwa haipitiki kutokana na mashimo, maporomoko ya maji na kukosekana kwa mifereji ya kupitisha maji.

Wakizungumza, baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wamesema hatua ya Serikali kuanza ukarabati wa sehemu ya barabara hiyo kwa kiwango cha changarawe imeanza kuleta nafuu kubwa katika usafirishaji wa mazao na shughuli nyingine za kijamii na kiuchumi.

Bw. Hasani Halifa mkazi wa Mabogini amesema kuwa barabara hiyo licha ya kuwa bado ina changamoto katika baadhi ya maeneo, lakini imeleta unafuu wa takribani asilimia 60 kwa wakulima na wasafirishaji.

“Kabla ya ukarabati huu, tulikuwa tunasafirisha mazao kwa gharama kubwa nauli ilikuwa kati ya Sh. 7,000 hadi Sh. 10,000 kwa mzigo mmoja kutoka shamba hadi sokoni lakini sasa tunatumia Sh. 1,000 hadi Sh. 2,000 tu”, amesema.

Kwa upande wake, mkulima na kiongozi wa skimu ya umwagiliaji ya Kaloleni, Bw. Hamis Mohamed amesema kuwa awali walikuwa wakipata hasara kubwa kutokana na kushuka kwa bei ya mazao sokoni kwa sababu wanunuzi walishindwa kufika mashambani kutokana na hali mbaya ya barabara.

“Mazao yalikuwa yakiozea shambani, tulishindwa kuyatoa kwa wakati, wakati mwingine hata kupatikana kwa magari ilikuwa shida. Mradi huu wa barabara kwetu wakulima ni wa thamani kubwa”, amesema.

Hata hivyo, wakazi hao wameiomba Serikali kuendeleza ukarabati huo kwa kuweka lami nyepesi ili barabara hiyo iweze kudumu zaidi na kuhimili hali ya hewa ya eneo hilo, hususan mvua kubwa na jua kali linalosababisha vumbi.

Naye, Mwenyekiti wa Kkitongoji cha Mabogini Juu, Bw. Zuberi Bakari amesema hali ya barabara hiyo ilikuwa mbaya kiasi kwamba watoto walishindwa kwenda shule msimu wa mvua huku wajawazito wakikosa huduma za afya kwa wakati, jambo lililosababisha hata baadhi yao kupoteza maisha.

“Tulikuwa tunapitia shida kubwa nyakati za mavuno, mazao mengi yalikuwa yanaharibika mashambani. Hali ya barabara ilikuwa ya kuumiza moyo. Tunaiomba serikali ituwekee hata lami ya kiwango cha kati”, amesema.

Naye, Meneja wa TARURA wilaya ya Moshi, Mhandisi Godfrey Mbema ameeleza kuwa barabara ya Mabogini–Kahe ina urefu wa kilomita 31, ambapo kwa sasa kiasi cha kilomita 1.2 kimeanza kukarabatiwa kwa kiwango cha changarawe chenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 800, ikiwa ni sehemu ya mpango wa muda mfupi wa kuboresha miundombinu ya vijijini.

Serikali kupitia TARURA imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya barabara katika maeneo ya vijijini kwa lengo la kuinua uchumi wa wananchi kupitia miundombinu bora inayowezesha biashara, usafirishaji na upatikanaji wa huduma za kijamii.

About the author

Alex Sonna