Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AKAGUA KITUO CHA UMEME _URAMBO

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ___ alipotembelea Kituo cha cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha msongo wa kilovoti 132/33 cha Uhuru – Urambo, Mei 2, 2025

*Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati*

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya umeme huku akisisitiza kuwa ni lazima Watanzania wapate huduma ya umeme.

“ Tunamshukuru Mhe. Rais ambaye anasema wananchi wapate umeme, Naomba nikuahidi Mhe. Rais mimi na wenzangu tutafanya kazi kwa kasi unayohitaji ili kuhakikisha wananchi wanapata umeme” amesema Dkt. Biteko.

Dkt. Biteko amesema hayo Mei 2, 2025 wilayani Urambo, mkoani Tabora mara baada ya kukikagua Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 132/33.

Dkt. Biteko amelipongeza na kulishukuru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kukamilisha mradi kwa ufanisi “ Mmefanya kazi kwa vitendo, nilikuja hapa mwaka jana mradi ukiwa asilimia 10, maajabu gani mmefanya mmemaliza kazi kwa wakati siwezi kujua. Nataka niwaambie naona fahari kuwa kiongozi wenu, napenda kufanya kazi na watu wenye kuleta matokeo nawashukuru mno,”

Vilevile, ameipongeza Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) kwa usimamizi mzuri wa Kituo hicho cha Urambo ambacho kimewashwa kwa siku 20 hadi sasa na kuongeza mapato ya TANESCO kwa asilimia 10.

Ameitaka Kampuni hiyo kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi na kusema kuwa wana fursa ya kupewa mradi mwingine kwa kuwa wamefanya kazi nzuri.

Amewahakikishia wananchi wa Urambo na Kaliua kuwa wataendelea kupata umeme wa uhakika na mradi huo unaifanya Tabora kuwa chanzo cha umeme katika mikoa ya Katavi na Kigoma.

Amesisitiza “ Mwisho wa mwezi huu wa tano tutazima jenereta Mpanda na kusaidia wao wapate umeme, watu wa Urambo nataka niwaambie kabla ya Kituo hiki kuwashwa makusanyo ya TANESCO yalikuwa milioni 323 pekee na baada ya kuwashwa Wilaya ya Urambo inaweza kuipatia TANESCO kwa mwaka shilingi bilioni 4.5 kiuchumi maana yake tumewekeza shilingi bilioni 44 na hiyo fedha itarudi ndani ya muda mfupi,”

Sambamba na hayo, Dkt. Biteko amempongeza Mbunge wa Urambo, Mhe. Margaret Sitta kwa mchango wake na ufuatiliaji wa ujenzi wa mradi wa Kituo hicho na kusema kuwa alijitoa kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma ya umeme.

Aidha, amesema sekta ya nishati imenufaika na mchango wake na kuielekeza TANESCO kupanda mti na kuupa ukumbi wa mikutano jina la Mbunge huyo ikiwa ni sehemu ya kuthamini na kuenzi mchango wake.

Pia, ameielekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kupeleka umeme katika vitongoji huku Urambo ikipewa kipaumbele.

Akizungumzia Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, amewasihi Watanzania kushindana kwa hoja na sera, huku akiwaomba wamuunge mkono Rais Samia kwa nia yake thabiti ya kuwaletea maendeleo wananchi.

Mbunge wa Jimbo la Urambo, Mhe. Margaret Sitta amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini.

Amesema kuanzia mwaka 2021 hadi 2025 wamepata fedha zaidi ya shilingi bilioni 100 ambapo barabara imetumia shilingi bilioni 12, sekta ya elimu imetumia shilingi bilioni 25 pia wana shilingi bilioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa matanki ya maji huku wakisubiri mradi wa maji kutoka Ziwa Viktoria.

Kuhusu umeme, Mhe. Sitta amesema awali wananchi walikuwa wakichanga fedha kwa ajili ya kununua jenereta lakini sasa wanaishukuru Serikali kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa umeme.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kufuatia maelekezo na usimamizi makini wa Dkt. Biteko sasa wananchi wanapata umeme wa uhakika.

“ Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu ni vyema ukafahamu kuwa tangu umeme huu ulivyowashwa haujawahi kuzimika hata mara moja na haya ni matokeo ya usimamizi wako na nina amini wananchi hawa wa Urambo leo wana haki ya kufurahia uwepo wako,” amesema Mhandisi Mramba.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), CPA Renata Ndege amesema mradi huo una km 135 kutoka Tabora hadi Urambo ambao unasaidia kuufungua Mkoa huo na mikoa jirani kwa fursa za kiuchumi na kijamii.

“ Mradi huu umekamilika na tumewasha umeme Machi 20, 2025, aidha mahitaji ya umeme kwa Mkoa wa Tabora ni wastani wa megawati 28 sawa na asilimia 32.7 ya uwezo wa vituo vyote ambayo ni megawati 85.5.” amesema Ndege.

Amebainisha “ Tunakuhakikishia kuwa wananchi wanapata umeme kama ambavyo umekuwa ukituelekeza na sasa umeme upo wa kutosha nchini.”

Msimamizi wa Mradi huo wa Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 132/33, Mhandisi Dalali Runyamila amesema kuwa kupitia mradi huo uliogharimu shilingi bilioni 44 ikiwa ni pamoja na fidia kwa wananchi unazalisha umeme wa ziada megawati 25 na hivyo wananchi wana umeme wa uhakika.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ___ alipotembelea Kituo cha cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha msongo wa kilovoti 132/33 cha Uhuru – Urambo, Mei 2, 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akihutubia wananchi wa Kijiji cha Vumilia Wilaya ya Urambo mkoani Tabora alipotembelea Kituo cha cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha msongo wa kilovoti 132/33 cha Uhuru – Urambo, Mei 2, 2025


Sehemu ya Watumishi kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alipotembelea Kituo cha cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha msongo wa kilovoti 132/33 cha Uhuru – Urambo, mkoani Tabora Mei 2, 2025


Sehemu ya wananchi waliojitokeza kwenye katika ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ya ukaguzi wa Kituo cha cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha msongo wa kilovoti 132/33 cha Uhuru – Urambo, Mei 2, 2025

About the author

Alex Sonna