Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete  (wa pili kulia)  na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,  Kazi,  Vijana, Ajira  na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor