Featured Kitaifa

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2024 JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu leo tarehe 1 Mei, 2024 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.

Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 1 Mei ambapo kwa mwaka huu kitaifa yamefanyika Jijini Arusha na Mgeni Rasmi alikuwa Makamu ya Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango.

About the author

mzalendoeditor