Featured Kitaifa

DKT MOLLEL AUNGANA NA WANAMWANGA KUADHIMISHA MIAKA 7 YA DAYOSISI YA MWANGA

Written by mzalendo

 

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel na Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Mhe. Abdallah Mwaipaya leo Novemba 5, 2023 wameshiriki katika Ibada ya kuadhimisha miaka Saba ya kuzaliwa kwa Dayosisi ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.

About the author

mzalendo