Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUNGUA UGAWAJI WA MAGARI YA POLISI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua ugawaji wa Gari la OCD Kizimkazi Mkunguni pamoja na Gari la OCD Makunduchi tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi funguo za magari Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad mara baada ya uzinduzi katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi funguo na gari la huduma katika Kituo cha afya cha Mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023 mara baada ya kukizindua katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuzindua Kituo cha Afya cha mama na mtoto Kizimkazi Dimbani katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui kabla ya kukabidhi gari la Wagonjwa kwa ajili ya Kituo cha Afya Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui wakati akizindua ugawaji wa gari la Wagonjwa kwa ajili ya Kituo cha Afya Kizimkazi Dimbani tarehe 29 Agosti, 2023
Wananchi wa Kizimkazi wakiwa nje ya Kituo cha Afya Kizimkazi Dimbani katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya tukio la uzinduzi wa ujenzi wa soko la Kisasa la Kizimkazi Dimbani kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Watendaji wengine wakishuhudia
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akiangalia michoro ya viwanja vya kufurahisha Watoto Kizimkazi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi tarehe 29 Agosti, 2023 Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia wasanii wa ngoma ya asili ya Zanzibar (Kibati), wakitumbuiza wakati wa Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi viwanja vya kufurahisha Watoto Kizimkazi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi tarehe 29 Agosti, 2023 Mkoa wa Kusini Unguja.

About the author

mzalendoeditor