slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

jojobet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

meritking giriş

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

tipobet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

Piabet

tipobet

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

vdcasino

sekabet

grandpashabet

matbet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

queenbet

Featured Kitaifa

MIGODI YA BARRICK YAWEKA REKODI YA UZALISHAJI NA KUPATA THAMANI YA MUDA MREFU

Written by Alex Sonna
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu. Kushoto ni Meneja wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido, kulia ni Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
 Kampuni ya Dhahabu ya Barrick  inayomiliki Migodi miwili ya North Mara na Bulyanhulu imeongeza pato lake kwa pamoja hadi kufikia wakia 547,000 kwa mwaka 2022, na kufanikisha hatua nyingine ya kuelekea hadhi ya Daraja la Kwanza.
 
Mgodi wa Dhahabu wa Daraja la Kwanza ni ule wenye hifadhi ya dhahabu yenye uwezo wa kuzalisha kwa angalau kipindi cha miaka 10, angalau wakia 500,000 za dhahabu kwa mwaka na jumla ya gharama za fedha taslimu kwa kila wakia kwa kipindi cha uhai wa mgodi ambazo ziko katika nusu ya chini ya grafu ya gharama za tasnia husika.
 
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari na wadau wengine katika Mgodi wa Bulyanhulu Januari 25,2023 , Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow, amesema tangu kampuni ichukue jukumu la udhibiti wa migodi hiyo mwaka 2019 imefanikiwa kufanya mageuzi makubwa katika shughuli zilizokuwa zimekufa au zikielekea kufa na kuwa mali zenye thamani ya hali ya juu kwa utendaji wake kwa sasa, matarajio yake ya baadaye, na kukubalika kwake katika jamii.
 
 
Aidha amesema utafutaji wa madini unaendelea kutoa fursa za kuongeza ukubwa wa akiba ya miamba yenye madini katika migodi yote miwili huku akieleza kuwa kipindi cha mpito cha mgodi wa North Mara kuelekea uchimbaji wa mmiliki unafanikiwa kwa kuongeza kwa kasi upanuzi wake unaoendelea wa chimbo la wazi kukiwa na uboreshaji wa ufanisi na gharama, wakati maendeleo ya kiteknolojia katika shughuli za uchimbaji wa chini kwa chini yanaongeza tija. 
 
Ameongeza kuwa Mipango ya kuanzisha upya uchimbaji katika chimbo la Gena inaendelea vizuri.
 
 
Katika mgodi wa Bulyanhulu, amesema shabaha kuu ni kuharakisha maendeleo ili kuukabili upungufu wake kwa kuifikia akiba mpya ya madini katika upande wa magharibi na upatikanaji wa wake.
 
 
“Leo hii, migodi hiyo inatambuliwa na serikali na jamii kama biashara zinazowajibika kwa jamii kwa kutengeneza fursa zenye manufaa makubwa na kuzishirikisha jamii na wadau wote katika fursa hizo na katika manufaa yenyewe, na kama mbia mkuu katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania,” alisema.
 
 
“Mwaka jana, North Mara ilitambuliwa rasmi kama mlipakodi mkubwa zaidi wa Tanzania na Bulyanhulu ilitunukiwa tuzo ya Mwajiri Bora Anazingatia Masharti na Matakwa ya Sheria, iliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii. North Mara na Bulyanhulu pia zilipokea tuzo za mshindi wa kwanza na wa pili mtawalia za kutambua mchango wao kwa Uuzaji wa Madini nje ya nchi na kwa uzalishaji wa fedha za kigeni.
 
Migodi yote miwili imetoka safari ya mbali sana na tunatarajia kuendelea na safari hiyo kupitia ubia wetu wa Twiga na serikali”, alisema Bristow.
 
Alisema tangu ichukue jukumu la udhibiti mnamo mwaka 2019, Barrick imeingiza dola za kimarekani bilioni 2.4 katika uchumi wa Tanzania. Mwaka jana, ililipa dola za kimarekani milioni 303 za kodi, mrabaha, ushuru, gawio na ulipaji wa mikopo ya wanahisa na dola za kimarekani milioni 476 kwa wasambazaji na watoaji wa huduma wa ndani .
 
 
“Kadiri migodi ilivyoendelea kukua, imeendelea kuweka kipaumbele cha utoaji wa ajira kwa watu wa ndani. Nguvu kazi yake hivi sasa tayari ina Watanzania wapatao 96%, huku 45% ya waajiriwa wapya wakitoka katika jamii zinazoizunguka migodi. Kupitia kamati zake za maendeleo ya jamii, migodi hiyo imewekeza zaidi ya dola za kimarekani milioni 10 katika miradi ya kuboresha huduma za afya, elimu, upatikanaji wa maji ya bomba na miundombinu ya barabara”,alieleza.
 
 
Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa ameishukuru Barrick na Kampuni tanzu ya Twiga kwa mafanikio makubwa yanayozidi kuonekana kupitia uwekezaji hapa nchini.
 
“Tuendelee kupiga vita utoroshaji madini, tuendelee kuwapa ushirikiano kampuni ya Barrick ili uwekezaji uwe na tija kwa wananchi. Tunataka kampuni ziwape kipaumbele wazawa ambapo tunashukuru Barrick imeajiri watanzania asilimia 96%”,alisema Dkt. Kiruswa.
 
 
Naye Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe. Idd Kassim amesema uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Bulyanhulu na jamii ni mzuri ambapo fedha zinazotolewa na mgodi zinaleta tija kwa jamii.
 
Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda wamesema wataendelea kushirikiana na Kampuni ya Barrick na kuhakikisha fedha zinazotolewa zinainufaisha jamii.
Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa akizungumza na waandishi wa habari
Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa akizungumza na waandishi wa habari
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akiteta na Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa (kulia).
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu. Kushoto ni Meneja wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido, kulia ni Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu. Kushoto ni Meneja wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido, kulia ni Naibu Waziri wa Madin Dkt. Steven Kiruswa.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu. 
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu.

Meneja wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido akizungumza na waandishi wa habari

Meneja wa Barrick Tanzania, Melkiory Ngido akizungumza na waandishi wa habari
 Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe. Idd Kassim akizungumza
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda akizungumza 
Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela akizungumza
Wadau wakiwa ukumbini
Wafanyakazi wa Barrick wakiwa ukumbini
Wafanyakazi wa Barrick wakiwa ukumbini
Viongozi  wa mikoa ya Geita na Shinyanga wakiwa ukumbini
Wafanyakazi wa Barrick na wadau wakiwa ukumbini
Wafanyakazi wa Barrick na wadau wakiwa ukumbini
Wafanyakazi wa Barrick wakiwa ukumbini.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna