Featured Kitaifa

RAIS WA ZANZIBAR AMBAE PIA NI MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMESHIRIKI UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WADI YA MIGOMBANI JIMBO LA MPENDAE ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Wadi ya Migombani  Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja 

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi .(hayupo pichani) akizungumza na Wanachama Wadi ya Migombani  baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo katika Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja 

VIONGOZI  wa Chama Cha Mapinduzi  na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wanachama wa CCM Wadi ya Migombani, wakati wa mkutano Mkuu wa Wadi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor