Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra nchini Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo tarehe 23 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra nchini Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo tarehe 23 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati nyimbo ya Taifa ya Tanzania ikipigwa wakati wa mapokezi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka Accra, nchini Ghana tarehe 23 Mei, 2022.