Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA MAJADILIANO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA HIARI VYA WABUNGE JIJI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha majadiliano na viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc

Viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge wakiwa katika kikao cha majadiliano yaliyoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor