Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA TAIFA KUHUSIANA NA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Taifa tarehe 09 Mei, 2022 kuhusiana na suala la kupanda kwa bei ya Mafuta nchini akiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor