Featured Kitaifa

MNDEME ASHIRIKI APIGA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SHINA DODOMA

Written by mzalendoeditor

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme akitoa elimu juu ya kadi za kieletroniki na umuhimu wake kwa wanachama wa CCM mara baada ya kupiga kura na kuchagua Uongozi wa Shina namba 2, Tawi la Mapinduzi, Mtaa wa Vikonje B, Dodoma. 

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme akipiga kura ya kuchagua Uongozi wa Shina namba 2, Tawi la Mapinduzi, Mtaa wa Vikonje B, Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme wakiwa amejumuika na wanachama wa shina namba 2, Tawi  la Mapinduzi, Mtaa wa Vikonje B, Dodoma. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

About the author

mzalendoeditor