marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sakarya escort

izmit escort

matbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

bahiscasino

marsbahis giriş

marsbahis

perabet giriş

interbahis

betmarino

betpipo giriş

imajbet

betmarino

casinowon

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

aaa

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

ngsbahis giriş

perabet

ngsbahis

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

vbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

lordcasino

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

deneme bonusu

jasminbet

jasminbet giriş

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

Featured Kitaifa

MFUMO WA KIELETRONIKI WA TATHMINI YA HALI YA WATUMISHI WAZINDULIWA JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Jenista Mhagama,akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kielektroniki wa tathmini ya hali ya watumishi katika utumishi wa umma unaolenga kubaini mahitaji halisi ya watumishi kwenye Wizara na Taasisi za Umma uliofanyika leo Machi 24,2022 jijini Dodoma.

  

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Jenista Mhagama (hayupo pichani)  wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kielektroniki wa tathmini ya hali ya watumishi katika utumishi wa umma unaolenga kubaini mahitaji halisi ya watumishi kwenye Wizara na Taasisi za Umma uliofanyika leo Machi 24,2022 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Jenista Mhagama,akizindua mfumo wa kielektroniki wa tathmini ya hali ya watumishi katika utumishi wa umma unaolenga kubaini mahitaji halisi ya watumishi kwenye Wizara na Taasisi za Umma uliofanyika leo Machi 24,2022 jijini Dodoma.

.………………………………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA 

WAZIRI wa  Nchi  Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Jenista Mhagama amezindua  Mfumo wa Kielektroniki wa tathmini ya hali ya rasilimaliwatu katika utumishi wa umma huku akiwaagiza Waajiri,Wakurugenzi na wakuu wa Idara kuusimamia mfumo huo.

Ameagiza Wakuu hao  wakamilishe zoezi hilo  ifikapo Machi 31 mwaka huu  ambapo  taasisi ambazo hazitakamilisha  zitakuwa zimekiuka maelekezo ya Serikali na hatua stahiki zitachuliwa.

Akizungumza leo Machi 24,2022 jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa mfumo huo,Waziri Mhagama ameagiza Wakuu hao  wakamilishe zoezi hilo  ifikapo Machi 31 mwaka huu.

Waziri Mhagama amesema kuwa  taasisi ambazo hazitakamilisha zoezi hili zitakuwa zimekiuka maelekezo ya Serikali na hatua stahiki zitachuliwa.

Amesema Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ina majukumu mengi ya Kisera na kiutendaji yanayotekelezwa kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo mbalimbali inayolenga kuimarisha usimamizi wa Rasilimaliwatu tangu mtumishi anapoajiriwa mpaka atakapostaafu.

“Nimekuwa nikisisitiza suala hili mara kadhaa kwamba bila kuisimamia vizuri rasilimaliwatu basi hizo rasilimali nyingine zote tulizonazo haziwezi kutuletea maendeleo tunayokusudia. 

“Niseme mapema na kwa dhati kabisa kuwa wote tunaona juhudi anazozifanya mama yetu Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye Sekta mbalimbali katika kuiletea maendeleo nchi yetu na watu wake.

“Ni jukumu letu sisi Viongozi na Watumishi wote wa Umma kuchapa kazi kwa utalaamu, ubunifu na weledi wa hali ya juu ili kuhakikisha kuwa Dira ya Maendeleo ya Taifa na maono na azma ya Kiongozi Mkuu wa Nchi yetu yanatimia,” amesema.

Pia, amewashukuru wataalamu pamoja na wote waliosimamia mpaka Mfumo huo kukamilika hivyo jukumu kubwa linabaki katika kutunza, kusimamia na kuulinda Mfumo huu ili uweze kufanya kazi iliyokusudiwa ipasavyo.

Waziri Mhagama amesema mara baada ya kusanifiwa na kujengwa kwa Mfumo huo, Ofisi yake  iliupeleka kwa Waajiri wote waliopo kwenye Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara katika Utumishi wa Umma (HCMIS) ili kuingiza taarifa na takwimu sahihi kuhusu idadi na mgawanyo wa watumishi kulingana na huduma zinazotolewa na taasisi za Umma. 

Amesema kwa taasisi zilizo nje ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara katika Utumishi wa Umma (HCMIS) zilipelekewa nyenzo ya kukusanya taarifa ambazo zitaingizwa kwenye Mfumo wa Kielektroniki kwa ajili ya kuchakatwa zaidi.

Amesema mfumo uliozinduliwa utawezesha ukusanyaji, uchakataji na uchambuzi wa taarifa za Watumishi kwa njia ya kisayansi ili kubaini mahitaji halisi ya Watumishi katika Wizara na Taasisi za Umma. 

Aidha, matarajio ya zoezi hili ni kuweka msawazisho wa Watumishi wa Umma katika taasisi za Umma,kwa tathmini iliyopo inabainisha kuwa utoshelevu wa mahitaji ya watumishi kwa taasisi za Umma upo kati ya asilimia 52 hadi 90,hata hivyo, zipo baadhi ya taasisi ambazo zina watumishi wa ziada katika baadhi ya kada. 

Hata hivyoWaziri Mhagama amebainisha Taasisi zilizofanya vizuri na ambazo hazijafanya vizuri katika kuingiza taarifa kwenye Mfumo.

“Kwa mfano, Taasisi 10 bora zilizofanya vizuri ni pamoja na Shule ya Sheria Tanzania (97%); Tume ya Ushindani (97%); Chuo cha Ardhi Morogoro (97%); Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala (96%).

“Ofisi ya Rais Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa (95%); Sekretariet ya Mkoa wa Iringa (95%); Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (95%); Mamlaka ya Serikali Mtandao (95%); Taasisi ya Utafiti wa Wanyama Pori (95%); na Wakala ya Mafunzo ya Menejimenti ya Elimu (94%),”amesema.

Mhagama amesema Mfumo umebainisha Taasisi takribani 94 ambazo hazijafanya vizuri katika kuingiza taarifa kwenye Mfumo kwa sababu bado zipo chini ya asilimia 50 ya utekelezaji wa zoezi hilo.

About the author

Alex Sonna