Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA KWA MFALME WA OMAN

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe Maalum kutoka kwa Sultan wa Oman ulioongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Sayyid Badr Hamad Hamood Al Busaidi Ujumbe huo ulipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.

About the author

mzalendoeditor