Featured Michezo

YANGA YAGAWA KADI MPYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah akimkabidhi Kadi ya Pili ya Mwanachama wa klabu ya Yanga leo visiwani Zanzibar, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid. 

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Viongozi wa Yanga SC katika hafla ya utoaji wa kadi mpya za Uanachama kwenye Ukumbi wa Wawakilishi, Zanzibar.

About the author

mzalendoeditor