Mataifa ya Ukraine na Urusi zimekubaliana kutengeneza na kuweka maeneo salama ya kibinadamu ili kuruhusu Raia kuondolewa. Hayo yameelezwa baada ya mazungumzo ya pili baina ya Mataifa hayo kufanyika
Upande wa Ukraine umesema bado haujapata matokeo unayohitaji lakini makubaliano kuhusu maeneo salama yamefikiwa.
Mwakilishi wa Urusi naye amethibitisha makubaliano hayo, pamoja na uwezekano wa kusitisha mapigano